Binadamu wa kwanza kuona kwenye giza atokea China, ana macho ya bluu

Nakumbuka nliwahi kukutana na watoto Pemba wao wanasumbuliwa na mwanga wa jua mchana yaani hawafumbi sana macho ila usiku ni hatari wanaona kupita maelezo at the time mmoja alikua 4 na mwengine 7 nlikua nawaonea huruma sana.
 
Wanayo macho ya Blue? hao watoto unaosema?
 
Nakumbuka nliwahi kukutana na watoto Pemba wao wanasumbuliwa na mwanga wa jua mchana yaani hawafumbi sana macho ila usiku ni hatari wanaona kupita maelezo at the time mmoja alikua 4 na mwengine 7 nlikua nawaonea huruma sana.

Kama grey mzizi mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…