Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,658
Kunguni ni Mdudu Mdogo sana na mwenye kujificha sana ila hujitokeza sana pale anapoona utulivu anapenda sana kujichanganya na wengine tatizo hapendwi... leo wacha ni list aina za watu wenye damu za kunguni
List na kama na wewe wawajua waweke a udamu wao wa kunguni ni upi kati nini na nini au nani na nani...
1. Coach Kibadeni Huyu alikuwa anajitokeza kila timu ya simba inapofanya vibaya au imefukuza kocha na kujitolea hata kuifundisha Bure kutokana na mapenzi na timu ya Simba kwani aliichezea sana akawa anafanya mara kwa mara akifukuzwa kwa matusi huku akiambiwa asirejee tena naye hakusikia lakini mwishowe alikuta kaburi la mzazi limechimbuliwa na kuambiwa aiache Simba ndio naye akaacha hadi leo... Inasemekana anadamu ya Kunguni Anapenda Mpira lakini Mpira haumpendi....
2.R.Mengi huyu alienda kwa wana Yanga Jangwani kuwasaidia waingine kibiashara ili Yanga iwe timu inayojitegemea alichoambulia ni matusi...
3.M.Wambura huyu alipokuwa TFF sikujua makosa aliyoyafanya ila kila anapotaka kuingia kwenye uongozi hatakiwa kabisa full vipingamizi nadhani ana damu ya kunguni
4.Lipumba kila akigombea uraisi anakosa lol
5.Nape kila akitafuta nafasi ya kuwa mbunge anakosa
6. Wapenzi wa Liverpoor kila wanaposhabikia timu yao ishinde inashindwa tu no kombe... muhahaha
7. @W.Malecela huyu ndio kabisaaaaa kila nafasi ya maana katika siasa hapati labda zile za ovyo ovyo
8. Dr. Love Pimbi huyu jamaa hapati mademu kila akitongoza amekuwa kama Arushaone
9.
10.
Mwenye kujua dawa ya kuondokana na Nuksi ya damu ya kunguni awasaidie haswa wewe MziziMkavu

Last edited by a moderator: