Binadamu wenye damu ya Kunguni mwenye kuweza kuwasaidia please

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
5,703
Reaction score
3,658
Kunguni ni Mdudu Mdogo sana na mwenye kujificha sana ila hujitokeza sana pale anapoona utulivu anapenda sana kujichanganya na wengine tatizo hapendwi... leo wacha ni list aina za watu wenye damu za kunguni

List na kama na wewe wawajua waweke a udamu wao wa kunguni ni upi kati nini na nini au nani na nani...

1. Coach Kibadeni Huyu alikuwa anajitokeza kila timu ya simba inapofanya vibaya au imefukuza kocha na kujitolea hata kuifundisha Bure kutokana na mapenzi na timu ya Simba kwani aliichezea sana akawa anafanya mara kwa mara akifukuzwa kwa matusi huku akiambiwa asirejee tena naye hakusikia lakini mwishowe alikuta kaburi la mzazi limechimbuliwa na kuambiwa aiache Simba ndio naye akaacha hadi leo... Inasemekana anadamu ya Kunguni Anapenda Mpira lakini Mpira haumpendi....

2.R.Mengi huyu alienda kwa wana Yanga Jangwani kuwasaidia waingine kibiashara ili Yanga iwe timu inayojitegemea alichoambulia ni matusi...

3.M.Wambura huyu alipokuwa TFF sikujua makosa aliyoyafanya ila kila anapotaka kuingia kwenye uongozi hatakiwa kabisa full vipingamizi nadhani ana damu ya kunguni

4.Lipumba kila akigombea uraisi anakosa lol

5.Nape kila akitafuta nafasi ya kuwa mbunge anakosa

6. Wapenzi wa Liverpoor kila wanaposhabikia timu yao ishinde inashindwa tu no kombe... muhahaha

7. @W.Malecela huyu ndio kabisaaaaa kila nafasi ya maana katika siasa hapati labda zile za ovyo ovyo

8. Dr. Love Pimbi huyu jamaa hapati mademu kila akitongoza amekuwa kama Arushaone

9.

10.

Mwenye kujua dawa ya kuondokana na Nuksi ya damu ya kunguni awasaidie haswa wewe MziziMkavu

 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@Duduwasha Ukiwa na Damu ya Kunguni ina maanisha hufai wewe kuongoza kwa sababu kunguni ni

mdodo mdogo lakini akikutafuna madhara yake ni makubwa kwa hiyo ukiwa wewe Binadamu una Damu ya

kunguni hufai kuongoza au kuwa kiongozi kwa wenzio. Ukimkuta kunguni popote pale dawa yake ni kumuuwa

tu mkuu
Duduwasha hawa wote uliowataja hawafai kuongoza bora wachague kazi zingine za kufanya ikiwa wananchi wao

hawaku wachagua kuwa ni viongozi hawafai kuwa Viongozi bora watafute kazi za kufanya.
 
na kweli,..labda mortutu waweza safisha damu hizo
 
mbona mmemsahau COL. KIPINGU?. yeye ndo anazalisha wachezaji bora wa mpira hapa tanzania lakini akigombea uongozi wa kukiongoza chama cha mpira anafukuzwa kama pusi, we acha, lazima huyu anadamu ya kunguni.
 
Mortutu ndio nini mkuu!

lol, ooh sorry ni dawa fulani hivi ya kuulia wadudu kwenye kahawa yenye rangi ya lightblue ina harufu sana, tangu nikiwa mdogo huko uchagani nasikia babu anaiita hivyo hata kiswahili chake nikadhani ndo hivyo
 
Hata Faiza Foxy hakupendeka humu jukwaani
 
Last edited by a moderator:
DAWA YA KWANZA AANZE NAYO MICHAEL WAMBURA washamuangusha tena umakmu wa Rasisi TFF
 
Liverpool mbona imeshinda makombe mengi. Nauye mbunge wa Mtama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…