Binafsi huwa sioni tija ya maandamano ya CHADEMA nadhani ni bora kuandamana kudai katiba mpya

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ?

Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya uchaguzi .

Wateuliwa wa rais ni wengi sana na wote wanafanya ili waendelee kubaki kwenye hizo nafasi ,je unadhani tutakuwa salama ?

Katiba ikishindwa kulinda mali za Nchi nani ataweza ?
 
Hili ndilo tatizo la watanzania wengi. Wanadhani kuna dude linaitwa CHADEMA ambalo ndilo lenye jukumu wa kuleta mabadiliko. Watu wamekaa majumbani wanasubiri miujiza ya CHADEMA huku wakikosoa. Na wale ambao hawaamini kwenye dude linaitwa CHADEMA, wao wanaamini dude linaitwa CCM. Wamekaa kwenye vitanda vyao wakisubiri dude CCM liwaletee maendeleo. Na wengine, wanasubiri dude linaloitwa ''mheshimiwa rais'' lilete maendeleo.
 
Sawa kabisa
 
Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ?

Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya uchaguzi .

Wateuliwa wa rais ni wengi sana na wote wanafanya ili waendelee kubaki kwenye hizo nafasi ,je unadhani tutakuwa salama ?

Katiba ikishindwa kulinda mali za Nchi nani ataweza ?
Kama huoni mantiki ya kudai waliotekwa na Polisi kuachiliwa huru basiwewe ni mmoja wa hao watekaji.
 
mi nadhani chanzo kikubwa ni katiba ambayo imewekea watu kinga hata wakifanya uhalifu , huku kwenda kwa matukio haina suluhu ya kudumu .
 
Kuna wanachama hawajulikani waliko, swali fikirishi ng'ombe wako katumbukia shimoni je utaenda kanisani ama utahakikisha ng'ombe wako anaondolewa shimoni?
 
Suala la kupata Katiba Mpya siyo la kuamka leo na kesho ikapatikana Katiba mpya lakini suala la kuachiliwa watu waliotekwa linawezekana kabisa kuachiliwa kwao kwa shinikizo la maandamano.
 
Hoja yako Ina mashiko.

Vyama vya Siasa hususani Vyama vya Siasa za Upinzani washirikiane na wapenda haki na Wapigania haki wengine kama vile Asasi za Kiraia (NGO's), CBO's, taasisi za kimataifa, n.k ili waandae platform ya kudai na Kupigania Upatikaji wa Katiba Mpya hapa Tanzania. Wananchi wengi watawaunga mkono endapo kama kweli hao CHADEMA wataandaa maandano ya kudai Mabadiliko ya haraka sana ya Katiba iliyopo pamoja na mabadiliko ya Sheria zote zilizopo ambazo ni Kandamizi.
 
Hoja ya kudai Katiba Mpya ni ya msingi zaidi kwenye suala hili. Kwa hiyo, maandamano ya kudai Katiba Mpya kwa mtazamo wangu naona kwamba ni Bora zaidi kuliko kudai "kuwaachia huru hao mateka" peke yake.

Kwenye Mchakato wa hayo maandano yao ya Kudai Katiba Mpya CHADEMA wanaweza wakaweka maazimio mengine au masharti mengine yenye kushinikiza hiyo ajenda ya kuwaachia huru mateka wote waliotekwa, na Mambo mengineyo watakayoona yanafaa zaidi kutekelezwa kwa haraka.
 
Suala la kupata Katiba Mpya siyo la kuamka leo na kesho ikapatikana Katiba mpya lakini suala la kuachiliwa watu waliotekwa linawezekana kabisa kuachiliwa kwao kwa shinikizo la maandamano.
kwani watu kutekwa limeanza jana au juzi si la miaka nenda rudi watu wanatumia mianya iliyopo kwenye katiba kuumiza watu au ?
 
Kwani kudai katiba mpya ni jambo jipya ? Kwa vile hakuna Katiba mpya tukae kimya tu huku watu wanaendelea kupotezwa na serikali dhalimu ya CCM?
 
mi nadhani chanzo kikubwa ni katiba ambayo imewekea watu kinga hata wakifanya uhalifu , huku kwenda kwa matukio haina suluhu ya kudumu .
Karibu nchi zote duniani huwa hazibadili katiba, huwa zinaboresha tu. Kwa sababu katiba ni utamaduni wa taifa toka kupata kwake uhuru. Ukicheza na eneo hilo unaleta ombwe na ni rahisi taifa hilo kutotawalika.

Ndiyo maana, unafikiri marekani itaondosha lini mfumo wa electoral collage kwenye uchaguzi? Unadhani United Kingdom itaachana lini na utaratibu wa utawala wa kifalme?

Jambo pekee ambalo watanzania tunatakiwa kufanya kwa mtazamo wangu ni kufanya kazi kwa bidii kuliko maelezo. Hata kesho upinzani ukichukua nchi, haitaondosha ukweli kuwa kila mmoja wetu atatkiwa kufanya kazi kwa bidii.
 
Uko sahihi
 
Hoja yako Ina mashiko.

Vyama vya Siasa hususani Vyama vya Siasa za Upinzani washirikiane na wapenda haki na Wapigania haki wengine kama vile Asasi za Kiraia (NGO's), CBO's, taasisi za kimataifa, n.k ili waandae platform ya kudai na Kupigania Upatikaji wa Katiba Mpya hapa Tanzania. Wananchi wengi watawaunga mkono endapo kama kweli hao CHADEMA wataandaa maandano ya kudai Mabadiliko ya haraka sana ya Katiba iliyopo pamoja na mabadiliko ya Sheria zote zilizopo ambazo ni Kandamizi.
Katiba ndio kila kitu
 
Karibu nchi zote duniani huwa hazibadili katiba, huwa zinaboresha tu. Kwa sababu katiba ni utamaduni wa taifa toka kupata kwake uhuru. Ukicheza na eneo hilo unaleta ombwe na ni rahisi taifa hilo kutotawalika.

Ndiyo maana, unafikiri marekani itaondosha lini mfumo wa electoral collage kwenye uchaguzi? Unadhani United Kingdom itaachana lini na utaratibu wa utawala wa kifalme?

Jambo pekee ambalo watanzania tunatakiwa kufanya kwa mtazamo wangu ni kufanya kazi kwa bidii kuliko maelezo. Hata kesho upinzani ukichukua nchi, haitaondosha ukweli kuwa kila mmoja wetu atatkiwa kufanya kazi kwa bidii.
Uko sahihi
Kwani mnaposikia maneno "Mabadiliko ya Katiba" kwa uelewa wenu huwa inamaanisha Nini?
Mabadiliko ya Katiba maana yake ni:-
1. Kuondoa baadhi ya vifungu, maneno, au ibara zilizopo kwenye Katiba iliyopo kwa kuweka ibara, vifungu, au maneno mengine au kwa kuviacha kando kabisa hivyo vilivyoondolewa.
2. Kuongeza upya baadhi ya ibara, vifungu au maneno mengine mapya ambayo hayakuwepo hapo kabla.

Je, nyinyi mlikuwa mnaelewaje labda?
 
Heshima kwako Mkuu,

Sina tatizo na maboreasho ya katiba. Mfano tume yetu ya uchaguzi iweje, mfumo wa uongozi wa uteuzi je upate baraka ya bunge akma sehemu ya mchakayo yaani Rais akiteua mkuu wa mkoa lazima jina liende bungeni kuthibitishwa kama ilivyo kwa PM?. This is okay na ndio viyu tunahitaji kufany kwa mawazo yangu.

Tatizo nililo nalo ni kuanzisha mchakato wa katiba mpya kama tulivyofanya kipindi cha Warioba. Haba tunaandika kitu kipya tunapata maoni mapya kuhusu sisi. Ni rahisi mchakato huu kukwama kwa sababu kuna vitu vitenda kinyume na tmaduni zetu ambavyo kwa kweli hqbitakiwi kubadilika. Kubadilika kwake kunaweza kuleta mtazamo mpya na pengine kuleta ukakasi wa kudumu kwa taifa.

Mfano wa mambo ambayo yanaqeza kukwamisha ni pamoja na.

1. Swala la kuanzisha serikali 3. Hili lilikuwa fupa kwenye mchakayo wa Jaji Warioba. ( kimsingi hapa tulikuwa tunahama kwenye utmaduni wetu)
2. Swala la nchi yetu kuwa ya kijamaa (hili litaendelea kubaki hivyo hata kama tutashona shona kuuongeza ubepati. Lakini kimsingi huu ndio utqifa taifa wetu ndio utanzania
3. Swala la wakuu wa mikoa na wilaya. Huu umekuwa utamaduni wetu hat kabla ya uhuru. Kufikiri kufuta unaweza kukwamisha mchakato wankatiba mpya. Labda kuongeza bjmge liwathibitishe
4. Sera ya majimbo. Haiwezekani. Kwa sababu ya ujamaa wetu
N.k
 
Mchakato wa katiba Mpya unachukua muda mrefu ,hata Upinzani hampendi sababu malengo yenu makubwa ni kujinufaisha
 
Back
Top Bottom