Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kayoko kipenzi cha Wanamsimbazi, sasa amekuwa ndiye adui yao mkuu! Bado akina Jonisia Rukya na mwenzake Tatu Malogo! Na wenyewe ni suala tu la muda kabla hawajageuka na kuwa maadui.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALY AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

CAPO.
 
Haaaaa yani goli wajifunge wenyewe simba lkn wakulaumiwa ni kayoko bola kayoko umeubeba msalaba wa mwangungu wana msimbazi dish likiekea kule ndio ukouko mwangungu kapata salama wanasimba wameimbishwa kayoko na wao wanaitikia kayoko kayoko akili izi kayoko ndio kafunga goli.!!!!
 
Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga.

Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana.

Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze wanaolalamika wasije wakawatoa kwenye reli.

Soma Pia: Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

Hongera sana Refa Kayoko.
Alichezesha vizuri tu.
 
Back
Top Bottom