Alichezesha vizuri tu.Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga.
Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana.
Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze wanaolalamika wasije wakawatoa kwenye reli.
Soma Pia: Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi
Hongera sana Refa Kayoko.
Ahahahah..kumbe!!. Sikujua kama jamaa ni mdau wao??Kayoko kipenzi cha Wanamsimbazi, sasa amekuwa ndiye adui yao mkuu! Bado akina Jonisia Rukya na mwenzake Tatu Malogo! Na wenyewe ni suala tu la muda kabla hawajageuka na kuwa maadui.