Mimi ni mwananchi wa kawaida sana kwa kweli ninamuombea Mhe. L. Mpina arudi mjengoni na kumuomba Rais Magufuli amteue tena kuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya uvuvi.
Mhe. Mpina amefanya makubwa katika kipindi chake cha uwaziri. Pamoja na wengi kumlaumu kule mwanzo lakini sasa hivi watu wa Kanda ya Ziwa tunafurahia matunda ya Mhe. Mpina.
Huku Kanda ya Ziwa idadi ya samaki wameongezeka sana hasa Sangara na bei imekuwa nafuu sana.
Leo nimeshuhudia sangara aliye na kilo 80 hapa Mwanza na haya ni matokeo ya kuzingatia sheria, taratibu na kanuni aliyokazia Mhe. Mpina.
Wengi walimlaumu mwanzo lakini sasa wanafurahi.
Binafsi namwombea Mhe. Mpina arudi mjengoni na ateuliwe kushika wadhifa wa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Mifugo.