Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

Hata mi nimefurahi anavyoondoka.
 
Nikwamba tumeishi miaka10 bila rais. Tuombe Mungu huyunaye asiwe garasa. Vinginevyo tutapiga 20 bila raisi.
 
Nikwamba tumeishi miaka10 bila rais. Tuombe Mungu huyunaye asiwe garasa. Vinginevyo tutapiga 20 bila raisi.
Miaka 10 tumeongozwa na msanii kwanini usifurahie anapoondoka?
 
Leo tunamuaga rasmi aliekua rais wa TAnzania Kikwete , na kumkaribisha MAgufuli kama rais kwa miaka mingine 5.

tunamtakia heri magufuli na Mungu ambainishie yalokua ya haki.
 
Tulipoteza fursa nyingi kama nchi baada ya NEC kumweka madarakani huyu jamaa. Sasa aende zake bhana, hatutamkumbuka na yeye asihangaike kutukumbuka.. rais wa mipasho.. atembee mbele bhana tushachookaaa

Rsis aliyeendeleza Amani,na kukubadhi nchi kwa AMANI.Na mpaka anaondoka madarakani uko mzima na afya yako.Huyu ndio Rais.AMANI Kwanza.
 
kama mimi nimefurahi huyu jamaa aondoke
 

Bila kuathiri uzito wa ulichoandika, Wewe kipigo chako kipo eneo lipi? Maana umeanza kuwa hutamsahau kwa "ULIVYOPIGIKA".
 
Watanzania msiwe ni kama watu msokuwa na dini, msiojua kushkur! JK will remain one of the best presidents ever, leo hata akina nanhii nao wanafika vyuo vikuu, serikali yake imekuwa ainaajiri zaidi ya graduates 35,000 hasa wa education kwa mwaka
 
Bila kuathiri uzito wa ulichoandika, Wewe kipigo chako kipo eneo lipi? Maana umeanza kuwa hutamsahau kwa "ULIVYOPIGIKA".
Siwezi kusema kipigo changu kinachangiwa na jambo fulani kinachangiwa na mambo karibu yote, ukosefu wa ajira kwa mfano huwezi kusema unasababishwa na kitu kimoja.
 
Kwa kweli hata mimi nafurahi sana kwa Jakaya kuondoka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…