Binafsi ni maoni gani utabaki kuwa na msimamo nayo haijalishi hata kama ukiwekwa mtu kati namna hii?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka mtu kati kukushambulia na kukupinga
20250204_115641.jpg
 
View attachment 3228964
CCM ni chama cha Majizi na NI chama kinacho-exist kwa kutumia state apparatus
 
Back
Top Bottom