KuienziKwa hio opinion yako ni kuitupilia mbali mizimu au kuienzi.?
CCM ni chama cha Majizi na NI chama kinacho-exist kwa kutumia state apparatusKuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka mtu kati kukushambulia na kukupinga
View attachment 3228964
Nakubaliana na wewe 10000000000000000000000%Eminem is the greatest hip-hop artist of all time.
Mimi nipo katikati mkuuKATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3228996