Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Niweke wazi msimamo wangu toka awali, kwamba nilikuwa naunga mkono uongozi wa ziada wa Freeman Mbowe kwa miaka mingine mitano.
Lakini zaidi ningependa aondoke kwa kupewa heshima anayostahili, sio kubezwa na Kupakaziwa matusi kama vile yeye ni stranger CHADEMA.
Kampeni za kumuondoa zimejaa fitna, kashfa za kutunga, uzushi, wivu na ufitini.... Kuna jamaa alipitiliza mpaka sasa yupo Jela.
Kuna watu hawakuipenda CDM kama Chama, ila walitumia huu upenyo wa kumsimanga kama excuse ya kuichafua zaid CDM.
Toka awali aliseme yeye ni vyema akakataliwa na wana CDM wenyewe kwenye sanduku la kura ( which they did) kuliko kukataliwa na watu wanamchukia yeye personally na ambao wala hawajui.
Sasa walioshinda hawakujiandaa, walijua ni mapambano tu na walipanga kuyaendeleza baada ya Uchaguzi.
Nimefurah sana wamepata walichokitaka..
Sasa ni muda wa kutekeleza what you preach...
Jaribio kubwa kwa vyama vya upinzani Tanzania ni fedha... Watu wasipolipwa huwa wanasaliti harakati.... Halina ubishi.. Covid na wengine wengi walioaminiwa walifanya hivyo wapo wengine ni mawaziri kwa sasa.
Sasa hawa watu waliogombana kaz ya kuwaunganisha ni kama itakuwa ngumu sana...
Angalao walioondoka hapo Kabla wanaonekana kama walitunza sana heshima ya Freema Mbowe kuliko waliobaki sasa...which is not okay, but if at all... Haya wanayoyaita mapungufu ya FAM sidhan kama kuna mchaguliwa hata mmoja mwenye uthubutu wa kuyatelekeza..
Sasa CHADEMA ni kama imekuwa na Counsellors wa kutosha mitandaoni..
Brainy kama kina Nshala hawawez kufanya confrontational politics comes what may...
Vijana wengi wa sasa ni kama wana mihemko tu, ukiongea nao Sentens moja au mbili unaona wanachochora mada...
Chuki, Wivu, Fitna huwa hazijengi na hakuna future kwenye hate .
Anyways im happy kwamba FAM ameshindwa, waliotaka kufanya mapambano ya ndani baada ya Uchaguzi wanakutwa na jambo jipya...
Muda wa kusheherekea hawana... Its tough out there... Na kiatu kikitembea 2025 kama ilivyokuwa 2020..game is over...
Ngoja picha ziongee👇