Asante sana kwa ushauri.Ukinyoa hakikisha kiwembe kinafata jinsi nywele zilivyolala kuanzia juu kushuka chini..
Na kama kisogoni nywele zako zimezunguka hakikisha kiwembe kifate nywele kadiri zilivyo kwenye mzunguko juu shuka chini.
Hutoona vipele hata siku Moja.