Tatizo ni kwamba kwanini kuwe na wazo la kumuongezea mda wa kutawala? Kwa nini wazo hilo liwepo kwa sasa?? Na ni nani ana hamasisha hiyo kampeni kiasi hiki na ni kwa lengo gani?? Ina maaana kuna wajinga wachache , yes wajinga ambao wanadhani ndani ya watanzania mil50 tumeishiwa viongozi wenye uchungu na uzalendo wa dhati zaid ya magufuri? Wametumia sensa ipi kudhani yeye ni zaid ya wote waliopo?na wamewapimaje hawa wengine walio baki kuwa hawana uwezo zaid ya huyo anaye pigiwa kampeni na wajinga wachache kwa sasa?Kwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri na anakwenda vizuri lkn bado kwa maoni yangu hajafikia pale ambapo sasa tunapaswa kusema tubadilishe Katiba yetu!
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...
Swala LA kubadilisha Katiba ni mythology mojawapo na halitatokea.Kwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri na anakwenda vizuri lkn bado kwa maoni yangu hajafikia pale ambapo sasa tunapaswa kusema tubadilishe Katiba yetu!
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...
Swala LA kubadilisha Katiba ni mythology mojawapo na halitatokea.
Hata Pombe Hawezi kuthubutu.
Katiba ndiyo aliapa kuilinda, katiba ndio Tanzania ilivyo.
Kuivunja katiba ni sawa na kuuvunja muungano na kuivunja Tanzania na kujivunja hata we we. Na kubwa zaidi ni KUIVUNJA CCM.
Pombe ana miaka 10 mfukoni mwake, hatoboi zaidi.
Mahaba pelekeni kitandani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naongea Uhalisia wewe unajenga Logic.Tangu lini kubadilisha Katiba kukawa ni kuvunja Katiba? Hivi hata unaelewa maana ya Katiba? Unafikiri ilishushwa ktk Mbinguni?
Kwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri na anakwenda vizuri lkn bado kwa maoni yangu hajafikia pale ambapo sasa tunapaswa kusema tubadilishe Katiba yetu!
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...
Mshapiga u turn!!!!!!!Hahahahaaa,lumumba bhanaKwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri na anakwenda vizuri lkn bado kwa maoni yangu hajafikia pale ambapo sasa tunapaswa kusema tubadilishe Katiba yetu!
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...