Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.
Acha uzinzi kijana,binamu ni nyama haramu!!Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.
Asante,hayo ndiyo yanayotakiwa kutoka kinywani mwa great thinkers,na si ku entertain ujinga!!Utajiju..
Tena kwa taarifa yako penzi ni kikohozi kulificha huliwezi.
Binamu nyama ya hamu...haikubaliki kabisa kwa mila za kiafrika.
Mambo hayo ya mabinanu yapo sana arabuni ambapo ndugu huwa wanaona.
Afrika mila za namna hiyo tulikuwa nazo miaka mingi sana ya nyuma,
lakini baada ya kugundua hasara za kuoana wana ndugu tukazitupilia mbali kwani madhara yake yalikuwa ni makubwa sana ikiwemo kuzaa watoto wenye mtindio wa ubingo na taahira ya akili, magonjwa ya kurithi , kinga dhaifu ya mwili na mengineyo mengi.
Nakushauri usijaribu kumnjunji binamu.
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.
Haya. Sio zamani, hata sasa wapo ila makabila mengine wako wazi lakini mengine hawataki iwe ruksa.
Leka
hello dada MJ1. I real miss you. upo? nakutakia krismasi njema
Inategemea na mila/tamaduni za kabila lenu. Kuna baadhi ya tamaduni binamu wanaoana. Kwani anakusumbua kivipi?
Kwa kabila letu ni kosa kubwa sana kufanya mapenzi na binamu. Sijui makabila mengine
Kaka huu ndio wakati wenyewe, si unajua safari za kwenda vijijini kusherehekea na ndugu unaweza kummis mtu hivi hivi.Mpwa mbona bado mapema.......π
Duh! Sasa sijui niwapeni hongera au la? Am in dilemmaSisi ni halali kabisaaaaaaaaaaaaaa
mkuu,upo?hello dada MJ1. I real miss you. upo? nakutakia krismasi njema
Mkuu nipo, vizingiti tu!!! Si unajua mwisho wa mwaka huumkuu,upo?
umeadimika sana!π
Msanii leo vipi kaka? LOL!!! Au machweo yamekaribia?Mkuu S.FM
unakuja jukwaani kuomba ruhusa ya kufungua zipu???
hebu nitumie ktk pm namba ya binamu wako nimpe ushauri nasaha.
ah mkuuMsanii leo vipi kaka? LOL!!! Au machweo yamekaribia?
Kaka huu ndio wakati wenyewe, si unajua safari za kwenda vijijini kusherehekea na ndugu unaweza kummis mtu hivi hivi.
Mfano yuko wapi FL1 siku hizi? Kashaenda Tandahimba huyo hadi January tena