Ulienda ulaya ya wapi wewe?πππππNaona unarudi kule kule , nilikuambia Hayo ya kukamatwa mwanamke na kupigwa bakora ni uongo kwani wanaotembea vichwa wazi wamejaa Irani .
Na huyo former ambassador hujajiuliza ilikuwaje Kawa former ? Asiwe existing ?
Huyo Grand niece una hakika au umeokota propaganda Za wayahudi tu mitandaoni. Unafikiri hamna Hao watoto wa wanyonge wanaosoma nje. Mbona hata huku kwetu wapi wengi tu. Mimi nilikwenda Ulaya kusoma wala sikuwa mtoto wa Karume ,Ni mtoto wa Hao wanyonge unaojifanya kuwatetea wakati Karume aliwasomesha watoto wake nje ya nchi toka primary.
View: https://youtu.be/-E6sXsF4j40?is=ypvxMTvCdd5RwQwN
Ulienda ulaya ya wapi wewe?πππππ
Nenda Iran kamaHIyo unayoijuwa wewe
HIyo unayoijuwa wewe
Millions basi wasingalifika zaidi ya 90 million hii leo
Hawa milioni 90 uliwapeleka wewe baada mamilioni kuuliwa?
Amefanyaje kwani?Magaidi wa IRGC sasa wachague kati ya kukaa na rubani waliyemteka au wamuachie huru.
View: https://www.instagram.com/p/DWtuFn-DnnS/?igsh=c3NoNmVhNmlmcjZt
Aliekuambia elimu ni ya Mungu ni nani?
Kwa nini Maayatolah wa Iran wawapeleke watoto wao Marekani kuishi na kupata elimu ilhali Wa Iran masikini wanawatesa na kuwanyonga kwa sheria kali za kidini kuhusu mavazi?
Watoto wao wanatembea chuchu zipo wazi wakati wanaua wanawake wa Iran kwa kuonesha nywele zao tu?
View attachment 3568391