Binge bila G Lema

Binge bila G Lema

Wimsha

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
518
Reaction score
504
Unafikiri tunge miss nini bungeni kama mbunge wa Arusha mjini angeshindwa ubunge?
 
Jifunze kuandika vizuri kabla hujapost chochote.Spelling ni hatari sana katika kugeuza maana halisi ya jambo.
 
We unadhani tutamiss kitu gani baada ya kuwakosa bungeni akina Sendeka,Wenje,Mkosamali,Kafulila na hayati Filikunjombe?
 
Back
Top Bottom