napata sms toka kwa Kalunyungu .Kaninieleza kwamba sasa Serikali ya CCM imeamua kupanda dau nalo ni 15,000$ kama utatoa taarifa ya nani ana document alizo acha Balali .
Samahani mkuu naomba ufafanuzi, hao UWT wanahusikaje? Na wao wametajwa kwenye ufisadi? Au ni UWT nyingine nisiyoifahamu mimi - Umoja wa wanawake Tz, ile jumuiya ya ccm?
Mkuu Mtanzania kwenye hili naona uko nyuma .Ama hujaelewa nasemaje .Wao wanatafuta data ambazo Balali ameacha nyuma hawamtafuti Balali .Data ziko katika mikono ya watu baadhi yao ni Watanzania, wana CCM , mawakili Tanzania na kulingana na dondoo ambazo tumeziona na kwa jinsi ilivyo kuwa ukweli wa EPA mengi Balali aliyasema so wanazitafuta mimi sasa ndiye nakupa data kaa utulie uone what next .
Lunyungu,
Hakuna data, hakuna video, hakuna audio, hakuna mikanda. Endelea kusubiri ila niambie lini utaamini umefungwa bao ili ikifika wakati huo unipe mji?
Wewe rudia threads za Ballali na utaona wazi uwongo ni ule ule. Watu wamevujisha EPA, budget ya serikali ndio ziwe kanda za Ballali tena ambazo eti kuna watu kibao wamekabidhiwa?
Amka mkuu, kwenye siasa hakuna siri maana kila mtu ana interest zake, sio mliona jinsi
Mbowe uzalendo ulivyomshinda pamoja na kuambiwa ni siri, akaamua kutoa habari za kifo cha Ballali? Hakuweza kuvumilia maana aliona hapo kuna uwezekano wa kuwarushia mawe CCM.
Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua. Wengine tulishaona ni changa la macho toka siku ile ile wanatangaza kifo.
Tulivyowapiga mawe watetezi wa Ballali hapa mpaka wengine wakapoteza composure, kungekuwa na data wangeshazitoa ili kuwaumbua akina Mtanzania, Mwafrika wa Kike na wengine lakini si umeona wakizidiwa wanaleta matusi. Ukiona mtu anatukana, ni dalili tosha hana data.
Mkuu Mtanzania .Ubishi wa Balali kafa ama hajafa mie sitaki kuingia huko .Ndiyo maana utaona kwamba sikuwahi kuandika lolote katika ule mjadala ila kuna ninacho kiamini ukisema hapa JF watakuvaa tu ndiyo maana mjadala ule niliacha uendelee.Leo naongelea maandiko ya Balali awe hai ama amekufa yanapatikana kwa baadhi ya watu .Nasema we are working on getting them na yatamwagwa hapa .Hili ndilo muhimu kwangu na kw amuda huu.Upande wa BoT na serikali wamesha sema na wao hawana la kuongeza.Tunataka kuona Balali yeye alikuwa na yapi wakati wa matukio haya yanatokea ?
Mtanzania unajua kama majina ya watu weney documents yanajulkana na JF we are at work tutaujua ukweli .Kama ni mambo ya kupikwa mimi nasema hayatadumu .Kwa sasa nina stick na what I am telling you now .Hadi hapo nitakapo ona kwamba kuna longo longo lakini kwa sasa nasema JF iko kazini si Lunyungu pekee bali hata wewe unaweza kuibua kabla sijapata na kuweka hapa .Hakuna uongo ulio jificha miaka kadhaa .
Nikiwa nimekaa naangalia mpira na kama kawaida mara umeme umekatika napata sms toka kwa Kalunyungu .Kaninieleza kwamba sasa Serikali ya CCM imeamua kupanda dau nalo ni 15,000$ kama utatoa taarifa ya nani ana document alizo acha Balali .
Nina aambiwa JF wana kasi ya ajabu kwa sasa kumpata mwenye nazo .Amesha kuwa located kazi sasa ni kumfanya alegee atoe na JF wazimwage jinsi zilivyo bila ya kungoja .Je na wewe unasikia haya ninayo yapata muda huu ??
Stay tune maana muda wowote waweza kuona baadhi maandishi ya Marehemu Balali hapa ubaoni .Serikali haitaki hilo na UWT hawalali wanataka document hizo .
Nasema we are working on getting them na yatamwagwa hapa .Hili ndilo muhimu kwangu na kw amuda huu.Upande wa BoT na serikali wamesha sema na wao hawana la kuongeza.Tunataka kuona Balali yeye alikuwa na yapi wakati wa matukio haya yanatokea ?