Bingwa EPL kaandaliwa?

Bingwa EPL kaandaliwa?

Nachofurahi ni pale magoli ya mechi mbili ya city na ya wolves mikono ilihusika kwenye buildup lakini marefa wakapotezea ,gemu ya city alishika B.Silva na TAA ,gemu ya wolves VVD kauuwa Mpira kwa mkono makusudi kabla ya kuupiga kwa lalana bora hata ya VAR kuliko haya matukio ya kujirudia rudia ,pia kinachoshangaza VAR inakubali same event ya SPURS VS Sheffield na inakataa same same event ya goli la wolves vs liver wachambuzi wanachanganyikiwa huko sky sport ni mambo ya kushangaza
 
Umemaliza?
2019
1. Ubingwa wa Uefa
2. Super Cup
3. Club World Cup.
Hapo hatujaongelea fainali za UEFA na EUROPA tulizocheza tukiwa na Klopp kweli VAR inafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachofurahi ni pale magoli ya mechi mbili ya city na ya wolves mikono ilihusika kwenye buildup lakini marefa wakapotezea ,gemu ya city alishika B.Silva na TAA ,gemu ya wolves VVD kauuwa Mpira kwa mkono makusudi kabla ya kuupiga kwa lalana bora hata ya VAR kuliko haya matukio ya kujirudia rudia ,pia kinachoshangaza VAR inakubali same event ya SPURS VS Sheffield na inakataa same same event ya goli la wolves vs liver wachambuzi wanachanganyikiwa huko sky sport ni mambo ya kushangaza
Game yao n leicester mtu kaunawa mpira walirudia mara nane nane kututoa wasiwasi ila hiyo game ya man city hawakuwa hata na muda wa kureview

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dulljr acha hayo mambo liver wana alison vvd mo firmno mane trent gin keita
arsenal tuna hawa mustaf saka gunduzi ozil.mzee bba vunga tupambane na khali zetu yakher
 
Back
Top Bottom