Hahaa mkuu hii ni dharau ya kiwango cha standard gauge, tafadhali naomba utengue hii kauliHata Arsenal nina uhakika ikifika miaka 30 itabidi abebwe tu.
Sasa hivi inakata 16. Tuendelee kuhesabu.
Hahaa mkuu hii ni dharau ya kiwango cha standard gauge, tafadhali naomba utengue hii kauli
Ni vile VAR inavyowabeba timu flani pale England ili ibebe ubingwa,baada ya msoto wa miaka lukuki......View attachment 1307259
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio manure huyo... Unafikir kila anayeipinga liva na mwanitesa unitedCl liverpool aliandaliwa,super cup aliandaliwa wcc ya juzi kule qatar aliandaliwa,nyie mwantesa fc punguzeni majungu Liver wako on fire vibaya mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza?Nachofurahi ni pale magoli ya mechi mbili ya city na ya wolves mikono ilihusika kwenye buildup lakini marefa wakapotezea ,gemu ya city alishika B.Silva na TAA ,gemu ya wolves VVD kauuwa Mpira kwa mkono makusudi kabla ya kuupiga kwa lalana bora hata ya VAR kuliko haya matukio ya kujirudia rudia ,pia kinachoshangaza VAR inakubali same event ya SPURS VS Sheffield na inakataa same same event ya goli la wolves vs liver wachambuzi wanachanganyikiwa huko sky sport ni mambo ya kushangaza
Game yao n leicester mtu kaunawa mpira walirudia mara nane nane kututoa wasiwasi ila hiyo game ya man city hawakuwa hata na muda wa kureviewNachofurahi ni pale magoli ya mechi mbili ya city na ya wolves mikono ilihusika kwenye buildup lakini marefa wakapotezea ,gemu ya city alishika B.Silva na TAA ,gemu ya wolves VVD kauuwa Mpira kwa mkono makusudi kabla ya kuupiga kwa lalana bora hata ya VAR kuliko haya matukio ya kujirudia rudia ,pia kinachoshangaza VAR inakubali same event ya SPURS VS Sheffield na inakataa same same event ya goli la wolves vs liver wachambuzi wanachanganyikiwa huko sky sport ni mambo ya kushangaza
Makaveli hawa watu ni wajingaSiamini katika hili!
Makaveli hawa watu ni wajinga
How many goals have been disallowed by VAR of liverpool
Aani wanakera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app