Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Sitikisiki na sipigi ramli.
Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa na hata akiingia na Coastal itakua kwa mbinde sanaa. YANGA wako bora sana ila kwao ni ligi si hapa.
Sijongelea sana Coastal Union kwa sababu wanapitwa na Azam ila ukiona wameingia fainali basi watazuiwa na Simba tu kama ni Yanga atatoboka kwa mbinde.