Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Acha uongoSitikisiki na sipigi ramli.
Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa na hata akiingia na Coastal itakua kwa mbinde sanaa. YANGA wako bora sana ila kwao ni ligi si hapa.
Sijongelea sana Coastal Union kwa sababu wanapitwa na Azam ila ukiona wameingia fainali basi watazuiwa na Simba tu kama ni Yanga atatoboka kwa mbinde.
Ndiwoo ndiwoo!!Na iwe hivyo IJN....
Nakubaliana nawe kabisa.. Kwa Mfano leo SIMBA atashinda kwa ushindi wowote uleSitikisiki na sipigi ramli.
Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa na hata akiingia na Coastal itakua kwa mbinde sanaa. YANGA wako bora sana ila kwao ni ligi si hapa.
Sijongelea sana Coastal Union kwa sababu wanapitwa na Azam ila ukiona wameingia fainali basi watazuiwa na Simba tu kama ni Yanga atatoboka kwa mbinde.
Nkausalimu kwa kina la jamhuri ndugu yangu mtanzania🤣🤣🤣Na iwe hivyo IJN....
Hii ni ramli pia?Nakubaliana nawe kabisa.. Kwa Mfano leo SIMBA atashinda kwa ushindi wowote ule
😂😂😂😂Nakubaliana nawe kabisa.. Kwa Mfano leo SIMBA atashinda kwa ushindi wowote ule
🤣🤣🤣Muda wa kufufua nyuzi...