jukumulangu
New Member
- Oct 1, 2024
- 2
- 2
Yule mwalimu bingwa wa chemistry madam Opiyo aliyefanya kazi miaka 28 Thaqaafa secondary na kuwapa maendeleo makubwa hatimaye ameacha kazi Thaqaafa secondary.
Wakurugenzi wa shule za Mwanza mtafuteni mama huyu mchapakazi na mwenye msimamo.
Ni mchapakazi haswa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema
Wakurugenzi wa shule za Mwanza mtafuteni mama huyu mchapakazi na mwenye msimamo.
Ni mchapakazi haswa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema