Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299

Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa mdogo wa umri wa miaka 8 hata Guinnes World Book of Records wanamtambua.