Photoshop at work!!
Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa mdogo wa umri wa miaka 8 hata Guinnes World Book of Records wanamtambua.
Photoshop at work!!
Guiness world record kuna mdada ndio ameshika hiyo rekodi
Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa mdogo wa umri wa miaka 8 hata Guinnes World Book of Records wanamtambua.
HahaaSaamahani Kakak, ninawasiwasi kuna siku utaletewa picha mkeo anameg... napo utasema photoshop