Kwa kawaida mchawi hudhani watu wengine ni wachawi pia.Ukiona unafanikiwa kazini wachawi wa hapo kazini wajaribu kukuroga wakashindwa kwa kuwa tu una Mungu,watajua wewe ni mchawi kuliko wao.
Kwa miaka mitatu iliyopita kuna timu imekuwa ikibeba ubingwa lakini bahati mbaya haijawahi kufanikiwa kucheza robo fainali club bingwa.Timu hii kwa aibu mwaka huu imetolewa mashindanoni kwa aibu licha ya kujaribu kutoa mlungula kwa Ibenge ili awabebe.
Mashabiki wa timu hii hawaamini macho yao kuona wameshindwa kuongoza ligi na sasa wanaamini uchawi walioufanya wao wa kurubuni wachezaji na waamuzi basi na aliyefanikiwa anaufanya.
Kitu ambacho mnapaswa kujua,mkiacha ubabaisha na mkawekeza kwenye soka kuliko kuwekeza kwenye propaganda,kila mwaka mtaishia kwenye makundi.
Club bingwa ni kwa ajili ya mabingwa wa kweli.
Kwa sasa acheni kulia lia na propaganda mitandaoni.Sajilini wachezaji na muwaache wakabiliane na ushindani wa kweli sio yale mambo ya Dodoma jiji halafu mnatoka mnajisifia na kuwapa sifa za uongo wachezaji. Siku wakikutana na ushindani wa kweli mnaanza kusingizia mmlerogwa na Simba kumbe ninyi ndio wachawi wakubwa.Simba angekuwa anawaroga msingemfunga mfululizo.
Simba walishaacha ubabaishaji.
Ubaya Ubwela!
#Simba Nguvu Moja