Gobo Waukweli
Member
- Jul 26, 2016
- 16
- 11
Dah noma sana labla ndo talent yake hiyoHuyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945
Du! Mashindano mengine buana!Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945
Vp hayafai?M
Du! Mashindano mengine buana!
Usiseme hivyo kila mtu ana kipaji chake.Sifa za kijinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu ataipeperusha bendera.Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake.
KkkkNaishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake.
Anaijali sana hayo yalikuwa mashindano.Vipi familia yake, watoto awabaki njaa kweli