young tunafish
Member
- Jul 1, 2026
- 87
- 139
Hii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup.. kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on
Leta timu yako ya ubingwa hapa ambayo wachezaji wake wanacheza ligi ya China au marekani!!!!Hii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!
Sio chuki, hao jamaa huwa wanawakweza wachezaji wao isivyo kawaida. Walcott anafunga Hat-trick Moja tu,Kesho magazeti yao yanaandika "WALCOTT NI ZAIDI YA MESSI". Na hili litazidi kuwagharimu BIG TIME!Leta timu yako ya ubingwa hapa ambayo wachezaji wake wanacheza ligi ya China au marekani!!!!
Punguza chuki halafu acha muda na mpira utaongea uwanjan
hapana mkuu huoni bidii na uwezo wa timu kiujumlaHii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!
yea yea yeaHere we go....
View attachment 3626295
Wewe malizana na Spain me namchinja Argentina halafu Tukutane final nikuzibe kimdomo hichoBingwa ni France. Save hii comment
france nao wanafanya vizuri ila wataenda kupoteza kwa uingereza fainaliBingwa ni France. Save hii comment
Ligi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweliSio chuki, hao jamaa huwa wanawakweza wachezaji wao isivyo kawaida. Walcott anafunga Hat-trick Moja tu,Kesho magazeti yao yanaandika "WALCOTT NI ZAIDI YA MESSI". Na hili litazidi kuwagharimu BIG TIME!
ENGLAND kimpira wazuri kwenye Propaganda. Hapo 100%!
muelekeze huyo mzeeLigi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweli
IT'S COMING HOME 🏆Sio chuki, hao jamaa huwa wanawakweza wachezaji wao isivyo kawaida. Walcott anafunga Hat-trick Moja tu,Kesho magazeti yao yanaandika "WALCOTT NI ZAIDI YA MESSI". Na hili litazidi kuwagharimu BIG TIME!
ENGLAND kimpira wazuri kwenye Propaganda. Hapo 100%!
Hapo mastaa kibao walicha ndala mpaka walipoenda kwenye league za wakulima huko ndio wameonekanaLigi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweli
Mkuu,hawa jamaa kwenye ishu ya UBINGWA usijipe matumaini nao. Kuwakweza wachezaji wao kupita kawaida na kukosa wachezaji wenye ubunifu na unyumbulifu usiotabirika kirahisi huwa kunawagharimu. Si kwenye EURO si WC!.hapana mkuu huoni bidii na uwezo wa timu kiujumla
OkIT'S COMING HOME 🏆
ajentina kazoea mbeleko raisi wao wa fifa infantino chozi litamtoka siku iyoWewe malizana na Spain me namchinja Argentina halafu Tukutane final nikuzibe kimdomo hicho
Awaulize kina , Falcao, Di Maria, Jadon sancho, Fernando morientes na Alexandre pato.muelekeze huyo mzee
kizazi hiki ambacho kinaongozwa na striker bora wa ligi ya bundesliga ujerumani ndo kinaenda kuleta heshima mkuuMkuu,hawa jamaa kwenye ishu ya UBINGWA usijipe matumaini nao. Kuwakweza wachezaji wao kupita kawaida na kukosa wachezaji wenye ubunifu na unyumbulifu usiotabirika kirahisi huwa kunawagharimu. Si kwenye EURO si WC!.
Haya ni maoni yangu tangu nimeanza kuwashuhudia kipindi cha wakina Beckham,Owen,n.k