Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

hao superstars unaowataja walishindwa kweli ila ni kawaida kwa timu yenye superstars wengi mifano ipo kwa brazil.. ila nimekwambia kizazi hiki kina hasira nyingi kuliko hao baba zao
 
Italy ya kupaki Bus ikakukanda
Spain ya vitoto vitoto ikakukanda
Hy ss kajikazeni tuone
 
England kwenye haya mashindano ni timu ya kufanyia promo na sio ya kubeba ubingwa.
Kma ilivyo kwa Argentine, England nao njia yao ilikuwa nyeupe sana hadi kufika hapo walipo.
Ila Antony godon, jude na Harry kane , sio wa mchezo mchezo, ni wa moto sana na kwa sasa ni wachezaji wa viwango vya juu mno ,safu yoyote ya ulinzi wanapasua
 
Tatizo la timu yako,huna wakina Olise,Dembele,Messi,Pedri,Dani Olmo,Marc Allister.n.k. Una wajomba fulani hivi wakipigwa pini hawanaga mbadala. So ukiona hujatwaa ndoo usihangaike sana kutafuta sababu!πŸ˜€
nikweli mkuu lakin hiyo haijalishi uzuri michuano ipo hatua ya robo fainali tunao muda wa kushuhudia mengi
 
Afike finali kwanza ndio tujadili hapa
 
Kuna waliosema ureno, na wengine morocco, wameula wa chuwa. Sasa na wewe utabiri wako una usahihi kiasi gani wakati robo na nusu fainali bado haijacheza? Subiri iingie kucheza fainali ndio uje na huu utabiri
 
mara zote utabiri hutolewa kabla ya mchezo kutokea ndomana wazungu unaona wanatabiri kabla ya fainali.. timu ikifika fainali ni rahisi kutabiri kama itachukua ubingwa kuliko hivi sasa ilivyo hata robo fainali haijachezwa
 
Kuna waliosema ureno, na wengine morocco, wameula wa chuwa. Sasa na wewe utabiri wako una usahihi kiasi gani wakati robo na nusu fainali bado haijacheza? Subiri iingie kucheza fainali ndio uje na huu utabiri
Utabiri hautolewi baada ya wingu kutanda
 
Spain πŸ‡ͺπŸ‡Έ
France πŸ‡«πŸ‡·
Argentina πŸ‡¦πŸ‡·
Bingwa hatatoka nje ya hapo.
 
Ila Antony godon, jude na Harry kane , sio wa mchezo mchezo, ni wa moto sana na kwa sasa ni wachezaji wa viwango vya juu mno ,safu yoyote ya ulinzi wanapasua
Gordon ni mzuri sana ndio maana sikushangaa Barca kumuondoa Rashford na kumchukua yeye tena kwa bei kubwa tu.
 
Gordon ni mzuri sana ndio maana sikushangaa Barca kumuondoa Rashford na kumchukua yeye tena kwa bei kubwa tu.
Mali kama hizi kipindi cha babu fegi lazima zitue matofalini πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…