young tunafish
Member
- Jul 1, 2026
- 87
- 139
- Thread starter
-
- #61
kati ya hizo timu nakutabiria anayecheza fainali ni france hao kenge wengine wanarudi nyumbani either robo au nusuSpain πͺπΈ
France π«π·
Argentina π¦π·
Bingwa hatatoka nje ya hapo.
Simba watatu haaminiki hd atakapo Bebahaha pale timu ilikuwa na uhakika wa nafasi ndomana waliplay safe.. unadhani ingekuwa hatua ya 32 bora huyo ghana angepata suluhu
Hakika, tumeshuka sana thamani sieMali kama hizi kipindi cha babu fegi lazima zitue matofalini π₯²
norway mzuri ila hatishi.. kati ya hao waliobaki mkali ni france tu ndo tutachuana nae finalItakuwa ni kazi ngumu sana kwa sababu lazima kwanza amfunge Norway kisha nusu fainali amfunge Argentina/Switzerland halafu ndipo fainali amfunge tena France/Spain/Belgium.
Kuna kibarua hapo cha kufa mtu.
haha subiri uoneFinal ni Uingereza na Ufaransa, kombe anabeba Ufaransa .
brazil wachovu sana usiwafananishe na englandEngland ni Brazil iliyochangamka. Wakikutana na Ufaransa watapasuliwa vibaya.
Spain vs France semifinal atakayeshinda ndiyo very likely atachukua kombe, lakini finals are very unpredictable so Argentina has same probable chances as those two.kati ya hizo timu nakutabiria anayecheza fainali ni france hao kenge wengine wanarudi nyumbani either robo au nusu
Hawawezi kubeba, hawana timu ya kuchukua kombe la dunia.Simba watatu haaminiki hd atakapo Beba
Kiniashara vipi tena wakati mbappe na Messi Wanafanya Yao tunaonaFainali ni Argentina vs France
Imekaa vizuri kibiashara
Ndiyo hivyo Mbappe na Messi wakiwa kwenye fainali itakuwa na mvuto zaidiKiniashara vipi tena wakati mbappe na Messi Wanafanya Yao tunaona
Hakuna kitu kama hicho, kiniashara zaidi ingekua labsa Ronaldo na Messi.Ndiyo hivyo Mbappe na Messi wakiwa kwenye fainali itakuwa na mvuto zaidi
FIFA na watu wa mpira wako kibiashara zaidi hata ratiba zinavyopangwa zina favor Baadhi ya timu ili zifike fainaliHakuna kitu kama hicho, kiniashara zaidi ingekua labsa Ronaldo na Messi.
Ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni hisia zako. Ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa, rudia Tena huo mstari "ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa"FIFA na watu wa mpira wako kibiashara zaidi hata ratiba zinavyopangwa zina favor Baadhi ya timu ili zifike fainali
Una sababu nyingine au ni hii hii tu moja iliyokufanya ukahitimisha hivyo?Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza