Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Kwa Ronaldo ilishindikana
Messi kuna faulo alicheza angekuwa mchezaji mwingine angekula red
 
Kwa Ronaldo ilishindikana
Messi kuna faulo alicheza angekuwa mchezaji mwingine angekula red
Hizo ndio naziita hisia, kwa nini ishindikane ikiwa wao wapo kibiashara na pengine Wanaweza kupanga matokeo kama unavyosema? Kwa nini ishindikane?
 
England ni Tanzania ya ulaya. Mpira upo mdomoni kuliko uwanjani.
Kifupi kabisa, faiaal inachezwa tarehe 14 julay. France vs Espana. Mshindi ndio bingwa.
 
turudini hapa baada ya tarehe 15 game ya nusu fainali ya pili kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…