Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Twende taratibu, nulikutolea mfano wa Sergio Ramos, Puyol ukasema Hawa ubora wao ulionekana sababu ya kukutana na timu za England, hapo ndio nilipokataa Hadi tukafika hapa na ndio hapo nimekuja na mfano wa hao kina zidane, maradona, RonaldinhoHauna shaka ,na haiondoi kuwa ligi ya England ni Bora, nafikiri ulidakia mazungumzo yetu juu juu tu bila kujua chanzo
Umesema EPL ni ligi ngumu ndio maana kina falcao walishindwa, hiko nilikikataa nikakutolea mfano kuwa wapo waliokua Bora EPL lakini nao walishindwa kuwika ligi zingine. Hapo ugumu wa kuelewa tunachojadiliana upo wapi?Wewe ndio hauelewi mzizi wa reply yangu , mimi ndio chanzo cha hizi reply, wewe umekuja kudakia post tu hivyo naendesha majadiliano kwa kiini cha mazungumzo toka mwanzo
Upo sawa kabisa , wao ni bora kwa uwezo na takwimu ,ila jibu langu liliegemea mazungumzo yetu ya siku tatu nyuma kama kiini cha hizi replyTwende taratibu, nulikutolea mfano wa Sergio Ramos, Puyol ukasema Hawa ubora wao ulionekana sababu ya kukutana na timu za England, hapo ndio nilipokataa Hadi tukafika hapa na ndio hapo nimekuja na mfano wa hao kina zidane, maradona, Ronaldinho
Epl ni ngumu ndio nikupandishie mahojiano ya live ya wachambuzi wa wachezaji walio tokea Spain?Umesema EPL ni ligi ngumu ndio maana kina falcao walishindwa, hiko nilikikataa nikakutolea mfano kuwa wapo waliokua Bora EPL lakini nao walishindwa kuwika ligi zingine. Hapo ugumu wa kuelewa tunachojadiliana upo wapi?
Nimesoma vizuri hoja zenu, mnaamini wanaocheza EPL ni ngangari kitu ambacho si kweli, mnaamini wachezaji waliokua Bora kutoka ligi zingine walifanya vibaya EPL kitu ambacho pia si kweliUpo sawa kabisa , wao ni bora kwa uwezo na takwimu ,ila jibu langu liliegemea mazungumzo yetu ya siku tatu nyuma kama kiini cha hizi reply
Sijui kama unaelewa nilichokataa kwako. Sijasema EPL sio ngumu, nilichosema mchezaji kufanya vizuri EPL au ligi yoyote hutegemea na mfumo wa timu anayoenda. Ligi iwe ngumu au iwe rahisi, kama mchezaji hatafit kwenye mfumo wa timu hatafanya vizuri. Nimebold hapo labda utaelewaEpl ni ngumu ndio nikupandishie mahojiano ya live ya wachambuzi wa wachezaji walio tokea Spain?
Kwa hilo upo sawa bwashee, ila mimi kwa reply zako na tulipo toka kwenye mazungumzo nipo sawa piaSijui kama unaelewa nilichokataa kwako. Sijasema EPL sio ngumu, nilichosema mchezaji kufanya vizuri EPL au ligi yoyote hutegemea na mfumo wa timu anayoenda. Ligi iwe ngumu au iwe rahisi, kama mchezaji hatafit kwenye mfumo wa timu hatafanya vizuri. Nimebold hapo labda utaelewa
Bwashee hii mada ina mzizi tokea uzi mwingine , ila upo sahihi kabisa ila kwa Henry tu umefeliNimesoma vizuri hoja zenu, mnaamini wanaocheza EPL ni ngangari kitu ambacho si kweli, mnaamini wachezaji waliokua Bora kutoka ligi zingine walifanya vibaya EPL kitu ambacho pia si kweli
Hoja yangu iliegemea kuwa mchezaji kufanya vizuri inategemea na mfumo wa timu anayohamia na Wala sio ligi, sababu wachezaji wengi Bora EPL waliotoka kwenye ligi za kawaida na timu za kawaida TU lakini waligeuka kuwa wachezaji jora wakubwa EPL
Haikua sawa, umewataja kina falcao walishindwa EPL sababu ya ugumu wa ligi kitu ambacho sio kabisa. Falcao hakufeli EPL sababu ya ugumu wa ligi, Bali alishindwa kuingia kwenye mfumo wa man utd, nitakutolea mfano. Mo Salah alishindwa kicheza chelsea lakini alipoenda Liverpool akawa mchezaji kabisa EPL. Happy utasema sababu ni ugumu wa ligi?Kwa hilo upo sawa bwashee, ila mimi kwa reply zako na tulipo toka kwenye mazungumzo nipo sawa pia
Henry ambae alikua top scorer na best player EPL ilifikia akaja kumaliza ligi kwa goli 2 unasema hapo hajafeli? Henry angefanya vizuri Barca wale Kina Pedro wasingeweza jurithi nafasi kirahisi vileBwashee hii mada ina mzizi tokea uzi mwingine , ila upo sahihi kabisa ila kwa Henry tu umefeli
Chanzo cha hiyo mada kilitaja wachezaji walishindwa la liga , nikaja humu nikamkuta huyo mwamba nikatoa wa epl piaHaikua sawa, umewataja kina falcao walishindwa EPL sababu ya ugumu wa ligi kitu ambacho sio kabisa. Falcao hakufeli EPL sababu ya ugumu wa ligi, Bali alishindwa kuingia kwenye lmfumo wa man utd, nitakutolea mfano. Mo Salah alishindwa kicheza chelsea lakini alipoenda Liverpool akawa mchezaji kabisa EPL. Happy utasema sababu ni ugumu wa ligi?
De Bruynr alishindwa Chelsea lakini akawa Bora man city.
Hapa ndio utamu ,utaka kapo anzia , ngoja kwanza niongeze biaHenry ambae alikua top scorer na best player EPL ilifikia akaja kumaliza ligi kwa goli 2 unasema hapo hajafeli? Henry angefanya vizuri Barca wale Kina Pedro wasingeweza jurithi nafasi kirahisi vile
Henry aliondoka EPL akiwa Bora sana na kiwango cha juu, lakini hakuweza kufanya vizuri na kuwa na huko kiwango Tena alipoenda Barca. Kama hili nalo unakataa basi kazi ipo.Hapa ndio utamu ,utaka kapo anzia , ngoja kwanza niongeze bia
Alikua bora na akaenda la liga na changamoto , akafunga goli 19 , akamaliza nafasi ya tano nyuma ya Messi, na msimu uliofuata akafunga goli 26 akabeba uefa na makombe yote muhimu kwa BarcelonaHenry aliondoka EPL akiwa Bora sana na kiwango cha juu, lakini hakuweza kufanya vizuri na kuwa na huko kiwango Tena alipoenda Barca. Kama hili nalo unakataa basi kazi ipo.
Uingereza ni ligi ngumu sana ila sio bora.Hapa ndio utamu ,utaka kapo anzia , ngoja kwanza niongeze bia
Unazungumzia kumfunga goli 26 kwenye michuano yote kwa mchezaji kama Henry? Kwa namna ulivyoizungumzia EPL ilipaswa awe na numbers hata nusu ya MessiAlikua bora na akaenda la liga na changamoto , akafunga goli 19 , akamaliza nafasi ya tano nyuma ya Messi, na msimu uliofuata akafunga goli 26 akabeba uefa na makombe yote muhimu kwa Barcelona
Tukubaliane kwanza , umeacha topic za juu kwa sababu haujui chanzo🤔Unazungumzia kumfunga goli 26 kwenye michuano yote kwa mchezaji kama Henry? Kwa namna ulivyoizungumzia EPL ilipaswa awe na numbers hata nusu ya Messi
Henry Amekua top scorer EPL kwa misimu minne, unafikiri kwa Nini hakuweza kuwa top scorer huko la Liga hata kwa msimu mmoja?
Chanzo tilishajadili uliweka list ya wachezaji walilofanya vibaya EPL kwa sababu ya ugumu a ligi, hapo ndio tulianza kubishana. Labda kama una chanzo kingineTukubaliane kwanza , umeacha topic za juu kwa sababu haujui chanzo🤔
Chanzo cha mada hii ni mada nyinChanzo tilishajadili uliweka list ya wachezaji walilofanya vibaya EPL kwa sababu ya ugumu a ligi, hapo ndio tulianza kubishana. Labda kama una chanzo kingine
Sikatai , ila unajua kiini cha mada bwashee?Uingereza ni ligi ngumu sana ila sio bora.
Ili lipo wazi takwimu zinaongea.
Ugumu wa ligi ya uingereza upo sehemu moja tu timu nyingi zinakaribiana viwango hali inayofanya ushindani uwe juu.
Pia kusema EPL sio ligi ya timu mbili pia uongo.
Ndani ya miaka 6 Pep kachukua EPL mara 5 tana kuna mda kachukua mara nne mfululizo utasemaje sio ligi ya timu mbili wakati kuna mmoja anachukua mara 4 mfululizo?
Wachambuzi wakaenda mbali mpaka kusema pep kaigeuza epl kuwa farmers league.
Kwangu La Liga ndio ligi bora zaidi.