Uingereza ni ligi ngumu sana ila sio bora.
Ili lipo wazi takwimu zinaongea.
Ugumu wa ligi ya uingereza upo sehemu moja tu timu nyingi zinakaribiana viwango hali inayofanya ushindani uwe juu.
Pia kusema EPL sio ligi ya timu mbili pia uongo.
Ndani ya miaka 6 Pep kachukua EPL mara 5 tana kuna mda kachukua mara nne mfululizo utasemaje sio ligi ya timu mbili wakati kuna mmoja anachukua mara 4 mfululizo?
Wachambuzi wakaenda mbali mpaka kusema pep kaigeuza epl kuwa farmers league.
Kwangu La Liga ndio ligi bora zaidi.
Hahaha ππ
Mthenge wewewatu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup
Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on