INAUZWA Binocular for sale

INAUZWA Binocular for sale

Yellow bone

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
256
Reaction score
329
Inauzwa binocular...(darumini.)
Iko safi..bei laki mbili.
Iko na powerful lens kias kikubwa sana..
Made in Germany
Picha natumipia hapo chini
..
Kwa ana
20170702_093147.jpg
ehitaji aje inbox ...iko dar es salaam
 
Dah ingekuwa hawajaanza kuchukua 15% ningewachukulia wabafunzi wangu kwa ajili ya geography
 
Ya kuchungulia watu kwenye magorofa.. Au kuangalizia wanyama mbugani
 
Inauzwa binocular...(darumini.)
Iko safi..bei laki mbili.
Iko na powerful lens kias kikubwa sana..
Made in Germany
Picha natumipia hapo chini
..
Kwa anaView attachment 533917 ehitaji aje inbox ...iko dar es salaam
Weka namba za simu mkuu nahitaji sana tu kama mbili hivi yangu na ya mke wangu, tuko karibu na uwanja wa mpira na tuko gorofani , nataka kubana matumizi ya kiingilio mkuu.
 
Weka namba za simu mkuu nahitaji sana tu kama mbili hivi yangu na ya mke wangu, tuko karibu na uwanja wa mpira na tuko gorofani , nataka kubana matumizi ya kiingilio mkuu.
Nakutumia namba yangu mkuu inbox..thanks
 
picha nzuri mkuu...tueleweshe uwezo wake unachukua distance ya km ngap?
Mkuu kama unaendesha gar...sehem ambayo unaweza safir kwa masaa 2 mpaka 5 unauwezo wakuona vyema sana sehem hiyo kama umesimama mahal pajuu..hivyo kama ni straight..tuseme umesimama kwenye ghorofa...na pengine unataka uwamulike trafik wa torch km 62 mbele basi you can see them...
 
Back
Top Bottom