Inawezekana ikawa Hysteria kama anavyosema Kongosho. Jaribu kumuona Daktari pale kitengo cha magonjwa ya akili Muhimbili. Sexual Hysteria kama kuna wengine wameshauri hapo juu, haitibiwi kwa kumuachia mtoto huru 'akararuriwe' ndio apone...theres no such a treatment for sexual hysteria, na mtakapofanya hivyo basi anaweza hata akawa anajifanyisha ili tu apate ruhusa ya 'kuraruriwa'. Counseling by a professional counselor/psychiatrist ndicho anachohitaji.

Hivi mkuu Riwa inakuaje anapelekwa hosptali na kuambiwa haumwi chochote? Hawawezi hata kumshauri cha kufanya? Kwamba kwa 'scope' yao hawana uwezo wa kung'amua tatizo, si wangempa 'way foward' badala ya kumwacha arudi nyumbani??
Inawezekana ikawa Hysteria kama anavyosema Kongosho. Jaribu kumuona Daktari pale kitengo cha magonjwa ya akili Muhimbili. Sexual Hysteria kama kuna wengine wameshauri hapo juu, haitibiwi kwa kumuachia mtoto huru 'akararuriwe' ndio apone...theres no such a treatment for sexual hysteria, na mtakapofanya hivyo basi anaweza hata akawa anajifanyisha ili tu apate ruhusa ya 'kuraruriwa'. Counseling by a professional counselor/psychiatrist ndicho anachohitaji.
RR....we are not saying that it is 'Hysteria', kwa sabau sisi sio tuliomuona mtoto na kuongea naye pia kuongea na wazazi wake, na kisha kumuexamine ili kujiridhisha ni tatizo fulani. Ila kwa maelezo aliyoyatoa Mandown...kuna uwezekano mkubwa ni sexual hysteria.
Magonjwa mengi ya akili huwa hayajionyesho mwilini, na hivyo Daktari anapokuexamine au hata kufany lab tests, hayaonyeshi physical problem. Ndio maana aliambiwa haumwi chochote. Na kuweza kufikiri further na kufikiria vitu kama Hysteria, inategemea na level ya training au specialization ya huyo Daktari anayemuona. Ndio maana unapoona tatizo linakushionda unarefer kwa superior wako maana yeye ana upeo mpana zaiodi. kama uko sehemu ambapo wewe ndio superior na upeo wako umekomea hapo...ni tatizo la health delivery system sasa!
Hivi tukiacha masihara na utani, mzazi unaweza kweli kumkabidhi binti yako kwa Bujibuji eti anatibiwa na wewe ukae nje unasubiria?
Mola aepushie mbali, matibabu haya yasimkute binti yangu ikanilazimu nijue kuwa saa hii anatibiwa
Mpeleke kwenye maombi
Hysteria au double personality, halafu mabinti huwa wanaupata kwa kujiendekeza zaidi, wanaambukizana. Hii niliipata kwa daktari wa saikolojia fulani hivi.
Washauri wa saikolojia wanaweza msaidia zaidi.
Uswahilini huwa tunaamini binti anahitaji kampani ya jinsia ya kiume, hatuna prufu
Ila ukiumwa chekelea wanakukabidhi kijana anamshughulikia basi mtu anapona.
hivi dr una namba ya any proffessional counsilor alieko dar?
Kuna daktari aliwahi kuchambua hili vizuri sana ktk kipindi cha power breakfast clouds fm baada ya watoto watatu kupatwa na tatizo hili wakiwa shuleni ningekumbuka jina lake nadhani ingesaidia kupata number na naamini angekuwa msaada bora kwako. Pole sana Mandown
RIWA, thanks very much for your adviceRR....we are not saying that it is 'Hysteria', kwa sabau sisi sio tuliomuona mtoto na kuongea naye pia kuongea na wazazi wake, na kisha kumuexamine ili kujiridhisha ni tatizo fulani. Ila kwa maelezo aliyoyatoa Mandown...kuna uwezekano mkubwa ni sexual hysteria.