Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mvua ya jana imeibua nyuzi nyingi za kunyanduana 😍Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.
Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda kijana ambae mama pia ameamua kutuliza moyo kwa kijana yule. Mama akiahidi kumtunza kijana kwa gharama zozote zile.
Kijana alikuwa na wakati mgumu. Pesa ya mama anaipenda na penzi la binti analitaka. Aliamua kuwaridhisha wote kwa wakati mmoja.
Inaonekana kua na sukari nyingi sana.Iwe na maziwa isiwe na maziwaaaa [emoji445][emoji445] vyovyote vile itachangamka [emoji445][emoji445]View attachment 2026805
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anasema katika utu uzima wake wote hajawahi kufika Kibo na Mawezi mpaka alipokutana na kijana. Alimuomba kijana amuachie binti ili waendelee kupanda raha. Kijana aliwaza future anahitaji mke na watoto na mama alishapita kituo kiitwacho menopause. Kijana penzi lote liko kwa binti.
Mama alisuka zengwe hilo binti akapata murder case. Alikua ndani na mama aliwapa ushirikiano polisi akijua hukumu ikitokea kama si maisha ni miaka 30 lupango.
Nani anataka tabu...sasa kama mtoto hatoi hela mama anatoa utamu na hela sii bora nitulie na mmma tule maishaHuyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.
Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda kijana ambae mama pia ameamua kutuliza moyo kwa kijana yule. Mama akiahidi kumtunza kijana kwa gharama zozote zile.
Kijana alikuwa na wakati mgumu. Pesa ya mama anaipenda na penzi la binti analitaka. Aliamua kuwaridhisha wote kwa wakati mmoja.
Alitolewa lock up na kijana mmoja, alipofika nje alikutana mama amepiga bei mali zake nyingi ili aka anza maisha na kijana katika nchi ya mbali.Mama mubaya
Mtu mzima kukopi vistori vya fb sio poaMama anasema katika utu uzima wake wote hajawahi kufika Kibo na Mawezi mpaka alipokutana na kijana. Alimuomba kijana amuachie binti ili waendelee kupanda raha. Kijana aliwaza future anahitaji mke na watoto na mama alishapita kituo kiitwacho menopause. Kijana penzi lote liko kwa binti.
Mama alisuka zengwe hilo binti akapata murder case. Alikua ndani na mama aliwapa ushirikiano polisi akijua hukumu ikitokea kama si maisha ni miaka 30 lupango.
Huyu mjinga ndio maana kaamua kuwa chawa.Alipigwa sana na maisha. Na kukosa elimu pia kunachangia lazima uwe chawa.Na nawadai kashata za miambili...View attachment 2026858
Adobe hiiHuyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.
Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda kijana ambae mama pia ameamua kutuliza moyo kwa kijana yule. Mama akiahidi kumtunza kijana kwa gharama zozote zile.
Kijana alikuwa na wakati mgumu. Pesa ya mama anaipenda na penzi la binti analitaka. Aliamua kuwaridhisha wote kwa wakati mmoja.
Mama anasema katika utu uzima wake wote hajawahi kufika Kibo na Mawezi mpaka alipokutana na kijana. Alimuomba kijana amuachie binti ili waendelee kupanda raha. Kijana aliwaza future anahitaji mke na watoto na mama alishapita kituo kiitwacho menopause. Kijana penzi lote liko kwa binti.
Mama alisuka zengwe hilo binti akapata murder case. Alikua ndani na mama aliwapa ushirikiano polisi akijua hukumu ikitokea kama si maisha ni miaka 30 lupango.
Alitolewa lock up na kijana mmoja, alipofika nje alikutana mama amepiga bei mali zake nyingi ili aka anza maisha na kijana katika nchi ya mbali.
Tatizo kijana alimuelewa binti kuliko anavyomuelewa mama. Kijans alimpigia chini. Wakati huo huo mtoto wake alimkana.