Binti akataa kuja tena kulala kwangu, kisa aling'atwa na mbu

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Mimi naishi uswazi, nimepanga geto yenye chumba kimoja tu sasa kuna binti niliwahi kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu.

So tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa mbu wa hapa kwangu, nimemuambia siku ile nilijisahau tu kupiga dawa lakini haelewi somo.

Nifanyaje?
 
Ukiwa na kibamia au kasoro yeyote hawakwambii....Hakuna sehemu imekosa mbu nchi hii.
 
Hujui kumpa kiboko mtoto wa kike, fanya mazoezi siku nyengine ukipewa maku uwe unammaliza kwa goli mojatu.. Hadi hataki tena!!! Atakuganda balaa maana la ukiweka la pili anatafta maji ya chumvi yalipo ajikande!
 

Acha uzinzi kijana
 
bindi!!!!?.... labda hukumpa ipasavyo, hizo mbu anasingizia tuu
 
jifanye wewe ndio huyo binti halafu lala kama yeye
 


Piga punyeto au la baka kuku au bata wa jirani na nafsi yako itaridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…