Binti akataa kuja tena kulala kwangu, kisa aling'atwa na mbu

Binti akataa kuja tena kulala kwangu, kisa aling'atwa na mbu

Mbu kisingizio tuu bali hakupata alichotarajia. Ungempa kisawasawa aliyoyafata hata angeng'atwa na mamba asingeshtuka. Hehehehe
Mamba indeed!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji818] [emoji818] [emoji818]
 
na wewe ni great thinker?
nahisi waTanzania wengi bado tuko kwenye transition period.
Zama za mawe zinarudi,yaani tunapiga reavers!![emoji23][emoji23][emoji23] Tuvumilie mkuu domocrezia ya habari hiyo.
 
Kuna kosa lingine pia la uandishi katika title yake, inanishangaza nyie wote mmeona moja tu. Au ndo kufata upepo!![emoji124]
Lipo mkuu si hilo "akakataa" sema hilo la bindi jamaa ndio ameua kabisa
 
We tahira kwelikweli ina maana we hukupata net za msaada kutoka usaid.mi binafsi niko single nilipata mbili moja nalalia mimi nyingine nmemfungia paka wangu asingatwe na umbu.
 
me naishi uswazi,nimepanga geto yenye chumba kimoja tu.sasa kuna binti niliwah kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu.so tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa mbu wa hapa kwangu.nimemuambia siku Ile nilijisahau tu kupiga dawa Lakin haelewi somo.
ifanyaje?
Mkuu mbona huwa una thread constructive. .Hope umepitiwa
 
mtoto alitegemea ule msemo wa'' ndani kwa ndani nikomelee''ila akaona vitu tofauuuuti kabisaaaa daaah!
 
Back
Top Bottom