NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Noted!!
Nashukuru mkuu kwa ushauri..
Hivi kwenye red ulikusudia kumaanisha nini vile?
yaani kakusudia kuuoa,,,,,wajidai tu!!!!! hilo ni laukweli haya tuambie sasa umeoa au hukuoa??????mana nyieeee.....hee
subhana llah,,,,,wallah ndugu yangu umeniziba hata mdomo siwezi tena kukujibu,,,labda ulikuwa wacheka kama kaka ake ndo akakufananisha jamani mbona watufanyia hivii tanmo vibaya hivyoo,,,
unajua tunaweza kuwa tunashauri watu bila kujua ni single au married then tukajikuta tunaharibu ndoa za watu.....bora tuulize anataka kuoa au kuchakachua tu
Na mwanamme jee akikufananisha na rafikiye wa utotoni ana maanisha nini? Au wanawake tu ndo hawaaminiki?
Manake juzi kati hapo kuna mtu mmoja alikuja kibaruani kwangu akasema kwa uhakika kuwa ananijua keshawahi kuniona sehemu na ananikumbuka kwa sababu nimefanana na rafikiye wa utotoni. (Mimi sidhani kaa nimewahi kumuona)
Sasa hapo mkuu kwa mtazamo wako naona ungejua ndo anatangaza nia!
Tusipeleke mawazo kwenye masuala hayo saa zote, kuna uwezekano mkubwa kakufananisha kweli ila mwanzo aliona tabu tu kukwambia
nashukuru kwa ufafanuzi kaka, nitajitahidi kuuzingatia ushauri wako...
nilham umenifanya nicheke.............
Na mwanamme jee akikufananisha na rafikiye wa utotoni ana maanisha nini? Au wanawake tu ndo hawaaminiki?
Manake juzi kati hapo kuna mtu mmoja alikuja kibaruani kwangu akasema kwa uhakika kuwa ananijua keshawahi kuniona sehemu na ananikumbuka kwa sababu nimefanana na rafikiye wa utotoni. (Mimi sidhani kaa nimewahi kumuona)
Sasa hapo mkuu kwa mtazamo wako naona ungejua ndo anatangaza nia!
Tusipeleke mawazo kwenye masuala hayo saa zote, kuna uwezekano mkubwa kakufananisha kweli ila mwanzo aliona tabu tu kukwambia
Gaijin; Umesema huyo mtu alikufananisha na akasema alishawahi kukuona mahali. Sasa mimi nimefananishwa na nikahoji kabisa vigezo vilivyotumika hadi nikafananishwa na jibu nililiambulia ni "Sijui" ..... Suala la kwa nini hakuniambia sababu hasa ya kunifananisha, hapo ndipo nahisi kufumbiwa fumbo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga, mwerevu ataling'amua.. Isije ikawa hapa napimwa werevu au ujinga wangu hapa:teeth::teeth:
sasa umeoa mbona ausemiiii???????mi ntaondoka wajua???
Hii imenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi...huyu jamaa bwana alikuwa anafurahisha sana. Yeye eti hata kusalimiwa na msichana tu tayari anaanza kufikiria kuwa huyo msichana anamtaka.
Halafu kuna binti ambaye tunafanya naye kazi. Huyu binti yeye anadhani kila mwanaume anamtaka. Ukijitusu tu kuanzisha small talk kwake basi mwenzio ataenda kuhadithia kuwa unamtaka.
Kazi kweli kweli.
Gaijin, huyu binti hatujaonana naye jana au leo kwamba awe confused kiasi hicho. Ina maana miezi yote tuliyojuana bado hajapata jibu kwa nini kanifananisha? Isitoshe angeniambia tulipokutana tu nisingeshangaa kwa maana ilishawahi kunitokea mara nyingi tu kufananishwa na ninyi dada zetu na mimi huwa naichukulia kawaida, ila hii ya sasa kali kidogo..Unaweza kumfananisha mtu na mtu wa familia yako na ukashindwa kujua ni kitu gani hasa kama hawafanana kwa sura.
Gestures and facial expressions pamoja na vitu kama flow ya speech inakuwa tabu kui pin point kwa ghafla japo unajua kuna kitu kinafanana
I support you!!!
Gaijin; Umesema huyo mtu alikufananisha na akasema alishawahi kukuona mahali. Sasa mimi nimefananishwa na nikahoji kabisa vigezo vilivyotumika hadi nikafananishwa na jibu nililiambulia ni "Sijui" ..... Suala la kwa nini hakuniambia sababu hasa ya kunifananisha, hapo ndipo nahisi kufumbiwa fumbo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga, mwerevu ataling'amua.. Isije ikawa hapa napimwa werevu au ujinga wangu hapa:teeth::teeth:
Jamaa hataki kusema kama kaoa au ajaoa mbona kuna ugumu kwa hilo yeye kuweka wazi!