Hapana...ni mapema mno kwa yeye kukonkludi hivyo. Yeye ni avute tu subira kwani kama totoz kweli anampenda jamaa basi ataonesha hints zaidi.
Kuna watu mahusiano yao wakikusimulia jinsi walivyoanza utabaki mdomo wazi. Hii ya kaka-dada ni ishu mdogo kabisa.
kama mambo ya hivyoo mi pia nimepatikana wallah kuna mtu humu jf nilimwambia kafanana na kaka angu kimazungumzo,,,,na xpaster WA HUMU HUMU alinambia kanifananisha na mtu fulani kimatamko,,,,,BUT ,,,,,hakuna kilichoendelea wala kilichojificha, sasa ndugu mpenzi toa mawazo yasiyo aminifu kichwani mwako,,,,and every thing have it's time to come,,,,so if she loves you wallah i'm telling u she will tell u,,,bcouse girl's first day's THEY dont want to show exatly what we need from u,,,so THEY start taratibu taratibu with love gift,daily appointment,daily sms:A S-alert1:,and so manything's sooo WAIT,,,,
Mdau huyo binti kakupenda wewe tu ndo hueleweki anasema hivyo ili akuone kama wewe nyoka wa kibisa au laa! fanya kweli bwana usituangushe mkuu, ukiacha kumalizia hiyo kazi itakuchikia mpaka utaiona ofisi chungu!
hehe i think kaa mkao fulani wa kimachale/eyes wide open...kumsoma zaidi kama anakupenda ataonyesha hints zaidi....binafsi nadhania kuna uwezekano huyo binti amekupenda ila katika kukupa hints ukaonyesha 'humsomi'...huna muelekeo wa kumake a move ndio akajikatia tamaa!...
cha kukushauri jicheki kwanza,kama unampenda yale matani mnayotaniana na huyo dada ongeza hints kuwa umemzimikia,huku ukimuuangalia anarespond vipi....kama hujampenda mpotezee tuu...bakini hivyo hivyo kama kaka na dada LOL.:teeth:
kama kakwambia anakufannanisha na kaka yake maana yake ni kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wewe,this is just simple and clear. Ni sawa sawa na msichana anakuona na kukuwahi kukusalimia shikamo kaka( na heshima nzuri) hapo kama ulikuwa na mawazo au mtazamo naye tafadhli achana naye kabisa maana utajiaibisha zaidi.
huo ni ushauri wangu.
Welcome to Women Trix 101
My take: Hapo huyo mdada anataka kuwa karibu na wewe for protection, lakini (msisitizo) hakuna kuchakachuana ndio tafsiri ya 'kaka'. Manake anataka uwe wingman,bodyguard,financial/emotional sponge au mshika pembe..Sasa its up to you kuamua unafanyaje.
Sijaona issue hapo, wewe ndio unakiherehere, mtu kuongea ukweli wake kwamba umefanana nakaka yake unapagawa, je angekwambia anakupenda si ndio ungezimia kabisa. Mimi naona wewe ndio unayemtaka ila ulikuwa unashindwa kumwambia sasa unaona hapo amekupa kianzio, eti 'ameongea kwa msisitizo', ndio alikuwa anamaanisha kwamba umefanana na kaka yake
mbona issue ipo waz sana jaman?sa utata upo wap kakakngu?
its just JIHESHIMU achana na matan au vtendo unavyomafanyia cz ANAKUONA NA KUKUCHUKULIA +KUKUHESHIMU KM KAKA YAKE THATS OL
SI KM KUNA SENTENS CHN YA SENTENS ITS JUST IVO KM ALIVYOSEMA
unashangaa mra 1, ya 2 unauliza swali...ya tatu unataka shari....!!huna mpango nae potezea tu!!Wakuu kuna binti ameniambia huwa ananifananisha na kaka yake na nimeshindwa kabisa kumuelewa anamaanisha nini.
Huyu binti tunafanya naye kazi sehemu moja na tuna mazoea ya kawaida kabisa ya kikazi zaidi. Kwa kweli ni binti mzuri na yuko singo. Binafsi sijawahi kumuonesha interest yeyote ingawa wakati mwingine huwa tunakuwa na matani ya hapa na pale (mara nyingine kuhusu mapenzi na maisha). Siku moja nikiwa nataniana naye mara ghafla akabadilisha topiki na kwa sauti ya msisitizo kabisa akaniambia kuwa huwa ananifananisha na kaka yake, nilivyomuuliza kwa nini akasema hata yeye mwenyewe hajui. Sikutaka kuendelea zaidi manake hata mimi nilipigwa na butwaa (kutokana na jinsi alivyosema kimsisitizo), tukaendelea na maongezi mengine.
Baada ya lile tukio huwa mara kwa mara najiuliza kuwa yule binti alikusudia nini, hasa ukizingatia kuwa sikuwahi kutegemea kwamba itafika siku ataniambia maneno hayo (tena kwa jinsi alivyoonesha kumaanisha anachokisema). Kama ameniambia kujilinda zaidi najiuliza kwa nini? wakati sijawahi kuonesha kumtaka? Au matani yangu yanamfanya adhani kuwa namtaka? Kama hakukusudia kujilinda ina maana ndo nimepewa taarifa kuwa milango ipo wazi?
Msaada wandugu!!!
Mkuu yakukera nini kufanana na kaka yake...... Nyote si wanaume nyie ... au
kuna vijimambo unafichaficha hapa ?
Mkuu binafsi sijakereka kufananishwa na kaka mtu, ila nimeshindwa kuelewa kusudio lake la kunifananisha ndo maana nimekuja omba mtazamo wa Ma-Great Thinkers mnisaidie mawazo..