wanachuo wakipewa wosia wa baba, wanaweza kutulia, maana natafuta mtu awe busy na shule(kitu muhimu maishani) lakini pia awe na muda wa kutisha kuwa nami. Si muda wote but awe na muda walau mnakutana two times a week siyo mbaya.
rose mbona wanitisha. ukweli ni kuwa awe tayari kupima. Kama hayupo chuo basi awe amehitimu walau form six, awe na kazi, ila awe na muda wa kutosha. maana mie nahitaji mtu wenye muda wa kutosha. Maana mambo mazuri yanahitaji nafasi. Ndio my preference
Kila la heri mkuu, lakini kwa nini mwanachuo tu??
Nitakusubiri mamaJamani mi form iv nitaingia chuo baada ya miaka miwili. Utanisubiri eeeeeeeeehh!
Nitakusubiri mama
Jamani
Ningependa kuku PM
lakini mi nilisoma shule za kata
elemu yangu stnd 7.,
watasubiriana savey
wanaweza kugongana lectr rum hawa.