Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
πππππππππ Wallahi umenichekesha walahiiUpumbavu mtupu ulio leta walahi
Kwendraaaaa kafie huko walahi
Bocco ni kati ya wachezaji wenye nidham Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Angekuwa
Sam magoli, Msuva, na Kichuya wangetoa mapovu sanaaaa at least boco ni mstaarabu sana.
Hahahahhhh!!!!!hata kwetu watoto wanajaliwa
kwani huoni mtt pendwa wa mwenye nyumba anavyonyenyekewa na kupendwa!? he's untouchable