Binti anahitaji kazi ya kufanya usafi au kuuza duka

oppa123

Member
Joined
Oct 13, 2023
Posts
49
Reaction score
105
Habari wanaJF,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika kufanya mahesabu. Na mwepesi wa kufundishika.

Sifa zake:
Umri :- 28
Elimu:- Form 2
Mahali:- anaweza fanya mkoa wowote.
Email:- dukanelectronics2@gmail.com

Asanteni.
 
Kwanini usimuajiri hapo dukani electronics 2?.
 
Kwa hiyo hiyo ana Cheti cha Form Two??
 
Tena inaonekana hata bride price hutaki unamtoa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…