Binti anaswa akibaka kavulana


Tiba ya kisaikologia ni mhogo tu, akiupata wa uhakika ataachana na kutafuta hizo pilipili.
 
ukistaajabu ya musa utaona ya firauni....alizidiwa inaelekea,.....tumeshindwa kujizuia wacchana wa cku hiz.....c bora angepiga pu*******
 
ingekua wa kiume kafanya hivyo tungesema hayo??

Usawa ni pamoja na haya

HUyo binti afunguliwe shitaka la kubaka minor na afungwe miaka inayoendana na shitaka
Tatizo huyo binti kisheria naye bado ni minor.
 
Reactions: Mbu
...Watu wanajifanya wakali na kuuma meno. Kisheria, wote hao ni watoto.
Huyo binti anahitaji msaada wa kisaikolojia kuliko adhabu.
 
hapa inatakiwa ufafanuzi wa kina,ili mwanaume aduu lazima kitu kiwe hewani!sasa huyo dogo alibakwa vp?
 
Badala watu wamsifie huyo binti kwa ushujaa wa kumpa dogo darasa la ku do wanaanza kumlaumu watu hawana shukrani kabisa.
 
duu, nashangaa, msaada wa kisaikolojia ni pamoja na mahitaji ya kimapenzi,pia hutokana na vyanzo ving ila kwa huyu nataman angenlete hata ntoe ukame
 
...Watu wanajifanya wakali na kuuma meno. Kisheria, wote hao ni watoto.
Huyo binti anahitaji msaada wa kisaikolojia kuliko adhabu.

Sawa ila kuna jela za watoto au nakosea. Huyo binti akiachwa si anaweza kuharibu watoto wa watu?
 
Maombi ya kukesha na kufunga. Tunaenda jehanam siku zi nyingi! Glory be to GOD
 
He he he ama kweli dunia ipo ukingoni,ngoja nijirudishe church taratibu
 
kulingana na umri wa uyo misichana yupo kwny puberty anahitaji counceling
alafu wamfundishe kutumia protections
 
Binti mbaroni kwa 'kubaka kavulana'



Na Masau Bwire

MSICHANA mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kigogo, Luhanga, Dar es Salaam anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za 'kumbaka' mtoto wa
kiume mwenye umri wa miaka mitatu.

Msichana huyo anadaiwa kumbaka mtoto huyo mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo alimuiba nyumbani kwao na kumpeleka kwenye pagale, nyuma ya Shule ya Msingi Kawawa.

Mama mzazi wa mtoto aliyefanyiwa unyama huo, ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema, wakati akifanya usafi ndani ya nyumba yake siku ya tukio saa 4 asubuhi, mtoto wake alikuwa nje akicheza na wenzake.

Alisema alipomaliza ndani alitoka nje kumchukua mwanaye huyo ili ampe kifungua kinywa, lakini hakumwona ndipo, akaanza kumtafuta zaidi ya saa nzima bila mafanikio.

Mama huyo alisema, baada ya kuhangaika kumtafuta mwanaye, akili ilimtuma kuchungulia ndani ya nyumba hiyo inayojengwa na alipofanya hivyo alikuta mwanaye amelaliwa na msichana huyo.

Alisema kuona hivyo alikwenda mbio kuita mama mwingine jirani yake ili ashuhudie kitendo anachofanyiwa mwanaye.

"Nikiwa na jirani yangu tulishuhudia msichana huyo akifanya kitendo hicho kwa mtoto wangu," alisema.

Baada ya kushuhudia yote hayo, walipiga kelele na kumkamata akiwa uchi na kumpeleka Kituo Kidogo cha Polisi Kigogo- Luhanga.

Msichana huyo alishikiliwa kwa muda katika kituo hicho kidogo cha polisi kisha akahamishiwa Kituo cha Urafiki kwa hatua zaidi za kisheria ambapo mtoto aliyebakwa akilipelekwa katika Hospitali ya Amana kupatiwa matibabu.

source: majira
 
huyo mama alitaka mwanae wa kiume apate raha mana kitendo cha kushuhudia afa anaondoka kwenda kumwita mwenzie badala ya kurescue the situation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…