Binti anatafuta kazi/ajira iwe ya halali na inayoendana na gender yake

Binti anatafuta kazi/ajira iwe ya halali na inayoendana na gender yake

Mchunguzi Fukara

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2021
Posts
215
Reaction score
274
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,

Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana miaka 22 elimu yake ameishia form two baada ya kubebeshwa mimba, kwa hapa Dar mtoto hana amemuacha na bibi yake kijijini kwao yeye yupo hapa Dar es salaam kigamboni.
 
Sawa. Kila la heri kwake. Ila Hiyo namba ya simu hiyo..... Namhurumia, kuna mijitu ina roho ya uzinzi- hapo itakuwa fursa kwao.
 
Back
Top Bottom