Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,
Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana miaka 22 elimu yake ameishia form two baada ya kubebeshwa mimba, kwa hapa Dar mtoto hana amemuacha na bibi yake kijijini kwao yeye yupo hapa Dar es salaam kigamboni.