Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Mambo vipi wana JF??!!
Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!
Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!! :mimba:
Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!

Hapo kwenye red KUZINI JE ?Mambo vipi wana JF??!!
Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!
Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!! :mimba:
Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!
Kaka acha uhuni? umzalishe halafu.........................
eti kamenizimia kanataka nizae naye tu, hujui huo ni mtego?
Mwache aingie kichwa kichwa
Unaonekana kabisa unataka sasa unachotaka ni kuungwa mkono tu!!Acha ujinga....mzalishe huyo uliye nae!!!
Atauza spana zooote, ha ha haaa!:lol::lol::lol:
mbana mara nyingi wanaume ndo wanakazaniwa na mabinti wanaotaka kuzaa nao, vp we upande wako na girlfriend wako hujamkazania mzae naye? maana hizi kesi zimekuwa liukuki watuhumiwa wakiwa ni mabinti, mbona nyie mnawaambia mabinti mzae nao na hatusemiii?