Binti Anataka Nizae Nae!!!!!


Ka-direct kwangu nikape kanachokihitaji kama wewe unaona noma!!:tongue:!
 
Nahc wewe ni kiwembe,sina msaada kwako,ila nakushauri uende kwa babu loliondo anaweza kukusaidia
 
Eti anataka nizae naye!!! Si ajabu tayari umeisha mpa mimba na hapa unataka tukuunge kwa upuzi huu na Nyie ndiyo mnaoongeza Watoto wa mitaani. Acha kabisa. Je hako kabinti kakizaliwa ka kike na Jamaa wakakatokea na kuzaa nako utafurahi?
 
Hivi nyie wababa mnawazaje? Wewe dume la mbegu hadi mitoto ugawe gawe tu kila kona? Unategemea ataishia zake na mbegu yako na hiyo mbegu haitakuja kusumbua familia? Kama unataka familia inayoyumba yenye mchanganyiko wa mitoto na mijanamike kila sampuli, kizalishe hicho kicheche utakoma!!!!! :embarassed2:
 
weeeeeeeeeeeh unasubir nini kutia tiz wakat umepata uwanja? hebu kajaribu kama kweli unaweza kuzalisha mi nikazan mk unapost hapa tayar ushafanya mambo
 

Hakuna kitu kama hiki chini ya jua. Ukizaa na mwanamke utaendelea kuwa baba wa mtoto mpaka kufa kwako. Na ubaba siyo suruali tu kuna majukumu ya msingi ya baba ambayo huwezi kuyaepuka.
 
hiyo mbona nyepesi
Ongea na Girlfriend wako umueleze vizuri akufahamu kuwa binti anataka uzae nae,
akikubali wewe weka gea mbele akikataa ndio hivyo
girlfriend akiwasha moto wewe utatia akili
 
Ha ha ha wewe hebu mwache mtoto wa wa2 hii ishu imenikumbusha mbali kweli!.. Wakat 2kiwa 0level kuna kaschana kalikua kanamzia rafikiangu kakawa kanamfuatafuata 2kamwambia jamaa akatie mimba ili kakome gelfriend wake pia alishiriki kumdanganya jamaa. Jamaa akafanya kweli ile 2namaliza 4m4 kasichana kameshiba sasa bahati mbaya kakawa kamechaguliwa kwenda Alevel lakini ndo hivyo tena. Jamaa alilazishwa kumuoa 7babu kamuharibia future sasa we angalia usije ukaozeshwa m2 usiyempenda kwa 7bu umekapa mimba
 

kweli kutoa ni moyo ila maombi mengine no akikuomba roho yako utatoa
 

Swali zuri sana. Kamuulize baba yako mzazi anaweza akakusaidia vizuri zaidi. Ukishindwa nenda kwa mchungaji/shekhe atakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…