Hiv mwigizaji/mtunzi atapataje hela kwa filamu yake kuoneshwa Netflix?
Labda kama unazungumzia kulipwa bonus manake katika mazingira ya kawaida, Waigizaji wanakuwa wameshalipwa kitambo!! Huyo Mtunzi nae itategemea kama ana role nyingine zaidi ya kuwa mtunzi (scriptwriter).
Kama role yake inaishia kwenye scriptwriting, basi nae cha kwake kishachukua kitambo!
And as a matter of fact, I doubt kama Bongo kuna kulipana bonus.
Swali la msingi labda iwe NetFlix Wanalipa lipa vipi!!
Katika mazingira ya kawaida, hawa huwa wanainunua movie/series husika, na anayelipwa ni owner wa hiyo movie, ambapo inaweza kuwa production company, movie studio or even Independent Producer!
Pamoja na yote hayo, suali lako ni la msingi sana ambalo Movie Crews wanatakiwa kuzingantia masuala ya bonus kwa sasa!! Kwamba, kama Screenwriter unajiamini na kazi yako, basi make sure mkatana wenu unahusisha mambo kadhaa including possible bonus... hivi ndivyo wanavyofanya wenzetu!
Mwandishi usipoweka hilo akilini, unaweza kuandika stori halafu filamu yako ikaja kuwa acrquired na watu kama NetFlix simplye because wamevutiwa na stori yako! Hapa ndo unakuta NetFlix wananunua filamu kwa $1.5Million wakati Mwandishi mwanzoni ulilipwa Kibongo bongo ONLY Sh 700K!