Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Ahsante Sana mkuuNgoja nkampe japo ka like
College of social science.Poa mkuu! College gani?
Ha ha haaa!!Mkuu ni mchuchu wako nini umeamua kumpa support?
Babuuu nakuona tu babu
Umeonaee sura yakeee we me/me???Mbayaaaaaaaaaa havutiiiiiiiiiiiiiiiii
Wa kawaida sanaaaaaaaaaa
Mimi ni meUmeonaee sura yakeee we me/me???
Sura kama katoka kulalaUmeonaee sura yakeee we me/me???
Team msambwada lolAngesimama ningempigia kura. Siwezi uziwa mbuzi kwenye gunia yakheee...!!
Team msambwada lol
Unataka kuangalia katiiii kama chogo au flat lol
Vibaya hivooo
TehtehMsambwanda ndo kisuuzio cha moyo...ππππ