Sawa dadayou don't have to be rude mdogo wangu.....
Hata bi kidude ana nafuu mbonaMwanamke atakuvutiaje wewe mwanamke mwenzie?
Weka picha yako tukuone kama wewe mzuri kama hutakuta unafanana na bibi kidude sura mbaya flat screen.
Ulipotelea wapi weye!?Hata bi kidude ana nafuu mbona
yani kidude akasome kwanza
Aseee umeniacha hoi bosi.niwape kura halafu badae mnibadilikie kama baba yake bashite
Nipo mbonaUlipotelea wapi weye!?
Ooh hapo sawasawa,pole na hongera pia!!!Nipo mbona
Sema majukumu tu ndo yananitenga na jamii
Inshallah!Ooh hapo sawasawa,pole na hongera pia!!!
Tuma picha zako tukuone na ww na huo uzuri wako..Mbayaaaaaaaaaa havutiiiiiiiiiiiiiiiii
Wa kawaida sanaaaaaaaaaa
Tuma picha zako tukuone na ww na huo uzuri wako..
Za kuadimika we mremboTake it easy man!
Mbona kama huyu ni jirani yanguSura kama katoka kulalaView attachment 485858 na kukurupushwa kupiga picha
Kazidiwa hata na kabinamu kangu ka black beauty
Ha ha haa!Tuwekee na G.P.A yake mkuu
cjui ubaya wa huyu binti upo wapi hadi nmetamani kuona picha za wanaosema huyu ni mbaya
Ndio huyo huyo mkuuMbona kama huyu ni jirani yangu
Mkuu naomba link ya profile ya IG ya huyo binamu yako nikamwongezee idadi ya likes.Sura kama katoka kulalaView attachment 485858 na kukurupushwa kupiga picha
Kazidiwa hata na kabinamu kangu ka black beauty
Sasa jirani yako ndo Bina wangu hivo watch her very careful afu uniapdet mienendo yakeMbona kama huyu ni jirani yangu
Bado mdogo huyoo utamuharibia malengo make vijana hamrembiMkuu naomba link ya profile ya IG ya huyo binamu yako nikamwongezee idadi ya likes.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mkuu naona umenichinjia baharini.Bado mdogo huyoo utamuharibia malengo make vijana hamrembi
Kumbe na yeye havumi ila yumo na huku.Ndio huyo huyo mkuu